Copyright TITC. Powered by Blogger.

Monday, April 14, 2014

ZIARA MASHULENI KUENDELEA TENA LEO

Share & Comment
Habari za asubuhi wapendwa.
Ni jumatatu ya wiki nyingine imewadia. Hali ya hewa Dar ni ya mawingu na dalili ya mvua kunyesha muda wowote.
Kwetu wana TITC na wadau wote wa mradi wa Shindano la Uandishi wa Riwaya za Kisayansi kwa Watoto ni siku nyingine ya uhamasishaji. Ziara za kutembelea mashuleni zinaendelea, ikiwa leo tuna malengo ya kufikia shule kati ya tatu hadi nne kwenye wilaya ya Kinondoni.
Tunatoa wito kwa yeyote anayeguswa na maono ya mradi huu awasiliane nasi ili tushirikiane kuwafikia watoto wengi iwezekanavyo.
Tujitolee muda wetu kwa kuandaa kizazi kijacho cha watanzania wajuzi kwenye kila stadi za maisha.
Tunahitaji volunteers kwenye mradi huu.
Karibu tujenge Tanzania ijayo.

Tuandikie;  ibot.isk@gmail.com
Tags:

Written by for TITC

We inspire scientific and technological creativity.

0 comments :

Post a Comment

 

Machapisho Muhimu

Machapisho Pendwa

Mpya !!!

Kuwa Mzalendo. Mpe nafasi na umhamasishe mwanao kushiriki.

Copyright © Uandishi wa Riwaya kwa Watoto | Designed by Templateism.com