Copyright TITC. Powered by Blogger.

Saturday, April 12, 2014

Jinsi ya Kushiriki shindano la Utunzi wa Riwaya

Share & Comment
Washiriki wote wanatakiwa kuandika hadithi fupi (maneno 500 hadi 3000).
Hadithi ziwe na ujumbe wa kisayansi, na ni lazima zitokane na moja kati ya mada zifuatazo;
  1. Moyo
  2. Sumaku
  3. Oksijeni
  4. Transfoma
  5. Utapiamlo
  6. Uchavushaji
  7. Lenzi
  8. Upinde wa Mvua
  9. Mmeng'enyo wa Chakula
  10. Huduma ya Kwanza
  11. Jicho
  12. Volcano
  13. Darubini
  14. Maisha ya Samaki
  15. Insekta
  16. Kutu
  17. Fizikia
  18. Mfumo wa Homoni
  19. Inzi
  20. Mwanga wa Jua
Watoto wanatakiwa kutunga hadithi katika mfumo wa riwaya na kisha kuzituma kwetu. Mwisho wa kupokea kazi za washiriki ni siku ya tarehe 15 Mei 2014.
Kumbuka shindano hili ni kwa watoto wenye umri chini ya miaka 15.
Tags:

Written by for TITC

We inspire scientific and technological creativity.

0 comments :

Post a Comment

 

Machapisho Muhimu

Machapisho Pendwa

Mpya !!!

Kuwa Mzalendo. Mpe nafasi na umhamasishe mwanao kushiriki.

Copyright © Uandishi wa Riwaya kwa Watoto | Designed by Templateism.com